Categories

Albino Mgeni

Genre: Action, Drama,

SKU: DT461 | DVD I, II | Year - 2011

Guvumali, kijana msomi anayefanya kazi kwenye shirika la Bima, anaandaliwa kuwa mkurugenzi mkuu wa shirika hilo ili kumrithi mkurugenzi aliyepo anayetarajia kustaafu. Anapewa mtihani wa kwanza wa kumuandaa awe mkurugenzi wa shirika hilo kwa kwenda kufungua tawi jipya la Bima nje ya jiji la Dar.Siku ya kwanza anapofika huko, akiwa nyumbani kwake usiku anagongewa mlango na albino wa kike akihitaji msaada, lakini anapomkaribisha ndani, Albino huyo anamtolea bastola akitaka kumuua. Nguvumali anafanikiwa kumnyang’anya bastola Albino na kumlenga yeye, lakini wakati anamhoji, Albino anaanguka chini akiwa amepigwa risasi na kufa. Kwa hofu ya kutiwa hatiani kwa mauaji, Nguvumali anaamua kumzika Albino kwa siri. Siri inayoibua makubwa huku mchumba wa Nguvumali aitwae Harieth akijikuta ndani ya kadhia hiyo kubwa. Je nini kinafuata…?

Casts: Eliya Njatta, Sophia Nutkel, Latifa Idabu & Flora Ndungi.

Story- Sultan Tamba; Script- Octavian Natalis; Camera- Rashid Mrutu, Sound & Light- Hamis Salum; Casting & Location Manager- Hashim Kambi; Continuity- Christopher Dadu; Driver- Seleman Mhando & Karim Ahmed; Location Manager Assistant- Aziz Salaa & Stanley Magari; Costume & Make-up- Suma Suitbert; Production Manager- Hashim Kambi; Producer- Octavian Natalis & Sultan Tamba; Director- Sultan Tamba.

No Reviews at the Moment

 

Submit Reviews

Your Rate  
Your Name  
Your Email  

Email will NOT be shown publicly

Your Review  

Please enter the word you see in the image left

 

 

escort bayan kadiköy escort kurtköy