Categories

Baba Mkwe

Genre: Drama, Family,

SKU: DT461 | DVD I, II | Year - 2013

Ndoa ni mapenzi na marighiano baina ya wapendanao, kwa baraka za wazazi na jamii waliyomo. Ndoa inapogeuka kuwa maamuzi ya mzazi bila ridhaa ya mmoja kati ya wanandoa, ni lazima litazaliwa bomu ambalo ni lazima lilipuke. Tazama yanayoikumba familia ya Mzee Jengua…

Casts: Mohammed Fungafunga, Flora Mvungi

No Reviews at the Moment

 

Submit Reviews

Your Rate  
Your Name  
Your Email  

Email will NOT be shown publicly

Your Review  

Please enter the word you see in the image left