Categories

Bestfriend

Genre: Drama,

SKU: DT461 | DVD I | Year - 2009

Hii ni mfululizo vva filamu zinazo-husu maisha na muziki. JIMMY (Banana Zorro) anaingia kwenye Bifu na rafiki zake vvawili, FRANK (D Knob) na MOSES (JayMoe) katika namna ambayo Iinaleta matatizo na wasiwasi mkubwa kwa ndugu na marafiki zao. Ni bifu za mapenzi na mambo ya ujana vitakavyokuacha hoi huku ukibahatika knkntana na muziki wa nyimbo kali za Bongofleva. Nini mwisho wa ugomvi wa Banana na rafiki zake hawana nini mwisho vva mgogoro wa nyumbani baina ya Mzee Gurumo na mwanae? Endelea

Casts: Banana Zorro, D Knob, J Moe, Jaffarai, Kiloman & Gurumo

A Sultani Tamba Film

No Reviews at the Moment

 

Submit Reviews

Your Rate  
Your Name  
Your Email  

Email will NOT be shown publicly

Your Review  

Please enter the word you see in the image left

 

 

escort bayan kadiköy escort kurtköy