SKU: DT461 | DVD I, II | Year - 2010
Wanawake na muziki kwake vilikuwa ni vitu muhimu sana lakini Mungu anapokutaka kukubadilisha haijalishi uko katika hali gani, kwake kila kitu kinawezekana
Casts: Adam Kuambiana, Jabon Stephen; Hashim Kambi; Zamda Salim; Diana Choundry; Saud Ally; Marco Kilo & Gloria Shoo
Producer “Ben” Pombe