Categories

Boss Tony

Genre: Drama, Romance,

SKU: DT461 | DVD I, II | Year - 2012

Ahadi ni kitu kizuri kwa wawili wapendanao, huleta nuru katika mapenzi, hufanya kila mmoja kuona raha katika mahusiano. Hakuna asiye na tamaa lakini tamaa hiyo imegawanyika katika makundi mengi. Hivyo ni bora uchague tamaa ya maendeleo kuliko tamaa za kutamani kupata kilicho nje ya uwezo wako, tamaa inasababisha maafa. Fuatilia simulizi nzuri ndani ya filamu hii…

Cast: Salama Muhudi, Issa Katumba, & Salma Nisha, Hashim Kambi
Pilipili Entertainment Company Limited.

No Reviews at the Moment

 

Submit Reviews

Your Rate  
Your Name  
Your Email  

Email will NOT be shown publicly

Your Review  

Please enter the word you see in the image left