SKU: DT461 | DVD I, II | Year - 2009
Fikiri kwa makini kila unalolifanya katika maisha yako ili lisije kukutatiza na kufanya ujute au kupoteza uhuru katika maisha yako, maisha ni msongamano wa mambo mengi, lakini yanaendelea….
Casts: Evonne Sherrly (Monalisa), Juma Kilowoko (Sajuki), Ndumbagwa Misanyo, Julieth Lister
Producer: John Lister, Ass Director Juma Kilowoko, Executive Director Suleish Marah, Cameraman John Lister, Editors John Lister / Sulesh Marah