SKU: DT461 | DVD I, II | Year - 2012
Elizabeth ni msichana wa kilokole, aliyejikuta anaanguka mikononi mwa brotherman Thomas, mtoto wa mjini na kulazimishwa kufanya matendo yasiyompendeza Mungu. Pamoja na makuzi yake katika imani
thabiti ya kikristo anajikuta anaangukia mikononi mwa mganga na kumpoteza mume wake thomas kimazingira. Nini kimetokea fuatilia kisa cha kusisimua
Casts: Jacqueline Wolper, Single Mtambalike, Adam Kuambiana
Director Single Mtambalike, Story & Script Single Mtambalike, Producer Bulls Entertainment, Cameraman Kabuti Onyango/Hamis Koba, Production Company Bulls Entertainment