SKU: DT461 | DVD I, II | Year - 2012
Alifanya kila alipendalo ilimradi ampate,ijapokuwa alikuwa mlevi, muhuni anayependa anasa kupindukia iimlazimu kuachana navyo na kumfuata kule alipo, baada ya kufunga ndoa Emmanuel kijana mwenye uchu wa pombe na anasa anashindwa kuficha makucha na kujikuta anarejea kulekule pa mwanzo.
Casts: Ndumbangwe Misayo, Pastor Myamba, Stanley Msungu, Stella N. Magai
Script Muhsin Mshangama, Story Juma Almasi, Producer Stella N. Magai, Executive Producer Stella N. Magai, Director Richard Mshanga, Sound Jsabri, Cameraman Yussuph Kisoki