Categories

Chozi la Damu

Genre: Drama,

SKU: DT461 | DVD I | Year - 2009

Ni vita ambavyo havikuwa na pa kukimbilia. Mama mzazi anaanzisha uhasama mkali na binti wa kumza mwenyewe ambaye anasubiri siku na saa tu ya kufunga ndoa na mvulana aliyempenda. Hakuna aliyetarajia kwamba vita hivi mama amevidhamiria vikali, lakini ndivyo ilivyokuwa. Ni filamu ambayo itakulaza ukiwa na majonzi na machozi huku ukitafakari, ni nini dawa ya tabia hizi?

No Reviews at the Moment

 

Submit Reviews

Your Rate  
Your Name  
Your Email  

Email will NOT be shown publicly

Your Review  

Please enter the word you see in the image left

 

 

escort bayan kadiköy escort kurtköy