SKU: DT461 | DVD I, II | Year - 2009
Mara baada ya mzee Joseph kugawa urithi kwa wanae Jenifer na Janet ambao ni dada wa tumbo moja na Maureen ambaye ni mtoto wa nje ya ndoa wa Mzee Joseph, Jennifer na Janet wanazigeukia mali za Maureen kwa fujo jambo linalozua balaa la damu, laana na amteso kwa wanafamilia hao
Casts: Violeth Mushi, Ndumbagwe Misayo, Clevina John