Categories

Determination

Genre: Action, Drama,

SKU: DT461 | DVD I, II | Year - 2011

Utafiti Wa Mazingira Ndio Nooto Yake.Lakini Baba Aliyemzaa Ndio Kikwazo Kikubwa Katika Kutimiza Ndoto Za Kijana Wales.Bastola Ndio Kitu Pekee Alichoona Kinafaa Kumuibia Baba Yake Yake Na Kutoroka. Akiwa Njiani Na Wenzake Wakielekea Porini Kwenye Kazi Yao, Wanamkuta Msichana Mwenye Majeraha Akiwa Amelala Barabarani. Ni Stori Ya Kusisimua Inazunguka Tukio La Huyo Msichana.Kumuokota Inakua Chanzo Cha Mtafaruku Baina Yao Huku Mauaji Yakihusisha Ile Bastola.

Misukosuku Ya Hapa Na Pale Inachua Nafasi Kubwa Mpaka Inafikia Polisi Kuingia Kati Polisi Wanapata Wakati Mgumu Kwenye Zoezi Hilo…Endelea

Casts: Charles Magari, Jacqueline Wolper, Simon Mwapangata, Federica Magriocca, Patcho Mwamba

No Reviews at the Moment

 

Submit Reviews

Your Rate  
Your Name  
Your Email  

Email will NOT be shown publicly

Your Review  

Please enter the word you see in the image left

 

 

escort bayan kadiköy escort kurtköy