SKU: DT461 | DVD I, II | Year - 2012
Ni filamu ya kitanzania yenye kufundisha na kuburudisha, inayohusu maisha ya Jesca na Franko, inaonyesha jinsi gani walivyokaidi mafundisho ya mungu na kuingia katika utawala wa shetani hatimaye umauti kuwakuta wote wawili
Casts: Suleiman Barafu, Shamsa Ford, Jackline Pentenzer, Misha Juma
Story & Script Adam Joseph Mwasa, Producer Shemson Alexander, Executive Producer SAS O Entertainment, Director Adam Joseph Mwasa, Sound Hassan Mahimbali, Cameraman Hassan Mahimbali