Categories

Haki ya Mke

Genre: Drama,

SKU: DT461 | DVD I, II | Year -

Neno maisha linamaana kubwa sana, na ndiyo maana misukosuko, mateso, majozi, furaha, vilio na vingine vingi huwa haviishi katika maisha ya kawaida ya mwana-damu anayeishi katika sayari hii.
Hakuna aliyekamilika, kila moja ana mapungufu yake tena zaidi katika swala zima la “mapenzi” usisubutu kusubiri kusimuliwa. fuatilia simulizi tamu ndani ya filamu hii….

Casts: Kulwa Kikumba “Dude”, Florah Mvungi, H. Baba

No Reviews at the Moment

 

Submit Reviews

Your Rate  
Your Name  
Your Email  

Email will NOT be shown publicly

Your Review  

Please enter the word you see in the image left