SKU: DT461 | DVD I, II | Year - 2012
Kweli kila kitu kina sababu yake. Kijana Liberty akutana na mashaka ambayo hakuwahi kufikiria lakini kila linalo mkuta mwanadamu kapangiwa. Fuatilia mkasa huu wa kusisimua sana. Je ungekuwa wewe ungefanya nini?...
Cast: Elizabeth Michael, Herry Samil (Mr Blue), Wema Sepetu
Camera man- Rashid; Diretor- Suleiman Barafu; Script- Mbwambo; Story- Suleiman Barafu/Liberty Msuya