Categories

House Girl

Genre: Drama,

SKU: DT461 | DVD I | Year -

Mara nyingi wasichana wa ndani wamekuwa wakituhumiwa kwa mambo mbalimbali hasa wizi na kuteka nyumba za watu kwa hisia za mapenzi. sijui nani alaumiwe kati ya mume, mke au msichana wa kazi maarufu kama house girl, katika filamu hii iliyochezwa na msichana machachari katika uigizaji wa filamu utapata majibu yote ya maswali yako, hasa pale chozi litakapo kumwagika na kujutia wema wa mama Lutha…endelea kuangalia filamu hii ya House Girl.

Tuesday Kihangala Film, Mtunzi/Muongozaji Tuesday Kihangala

No Reviews at the Moment

 

Submit Reviews

Your Rate  
Your Name  
Your Email  

Email will NOT be shown publicly

Your Review  

Please enter the word you see in the image left

 

 

escort bayan kadiköy escort kurtköy