Categories

I Hate My Birthday

Genre: Drama, Romance,

SKU: DT461 | DVD I, II | Year - 2012

Kila Mtu huoenda kuikumbuka siku hii kuwa ni siku ambayo ilifungua ukurasa mpya wa historia yake kwenye uso huu wa dunia ila kila anayeulizwa huwa hatoi jibu muafaka la kwanini anasherehekea siku hii…
Wakati mwana anapata fursa ya uhai katika siku hiyo, Mama huwa anahatarisha uhai wake, kwani anaweza kupoteza maisha, sasa badala ya kuwa na furaha kwa mwana kwa kusheherekea siku hiyo kama siku ya mwanzo wa maisha yake duniani, inakuwa ni majonzi fuatilia kisa hiki….

Cast: Vincent Kigosi, Aunt Ezekiel, Irene Paul

Story by Vincent Kigosi, Written by Ally Yakuti, Camera Farid Uwezo, Soundman Saidi Barghash, Lightman Steven Shoo, Editor Vincent Kigosi, Make-up Mwasiti Mohamed, Produced by Blandina Chagula, Executive Producer RJ Company, Directed by Vincent Kigosi

No Reviews at the Moment

 

Submit Reviews

Your Rate  
Your Name  
Your Email  

Email will NOT be shown publicly

Your Review  

Please enter the word you see in the image left

 

 

escort bayan kadiköy escort kurtköy