SKU: DT461 | DVD I, II | Year - 2013
Usinione nimenyamaza ukadhani nafurahishwa na matendo yako, Bali nimechoshwa na maovu uyatendayo kwani wewe siyo wakunifanyia hivi wakati unafahamu tupo katika wakatigani. Nakuomba uhifadhi ndoto ili nikirudi unisimulie….....
Casts: Jacqueline Wolper, Shamsa Ford, Jelly Wa Rhymes, Hemed Suleiman