Categories

Its Too Late

Genre: Drama, Romance,

SKU: DT461 | DVD I, II | Year - 2009

Maisha ya Jelady yaligeuka kitendawili pale alipotendwa na mwanamke aliyekuwa akimpenda sana. Kutokana na hilo Jelady alichanganyikiwa sana kitu ambacho kilimpelekea kuwa muhuni sana. Katika harakati za maisha hayo alipoona amechoshwa na maisha yale alimpenda mdada mmoja aliyekuwa akifanyanae kazi ofisi moja yote ni kwa kuwa aliamini kwamba ametulia na alikuwa yupo nae kwa muda mwingi. Kwabahati mbaya alikuwa amechelewa na Jerady alikuwa ameathirika na virusi vya ukimwi.

Casts: Yusuf Mlela

Camera Man- Rashid Mrutu; Editor- Rashid Mrutu; Director- Adam Kuambiana; Story-Mery John

No Reviews at the Moment

 

Submit Reviews

Your Rate  
Your Name  
Your Email  

Email will NOT be shown publicly

Your Review  

Please enter the word you see in the image left

 

 

escort bayan kadiköy escort kurtköy