Categories

Jezebele

Genre: Drama,

SKU: DT461 | DVD I, II | Year - 2013

Kila mtu anandoto katika maisha…si kila ndoto huwa ni lazima itimie.jezebele binti msomi ana-yeamua kuchanganya ndoto,tamaa na malengo bila kujua kipi kinafaa!  Anajikuta katika maisha ya kikatilLkifedhuli yaliyojaa majuto. Jezebele katika harakati za kujikwamua anapata kilema cha maisha bila kujua hapo ndipo….tafrani na jakamoyo linamkumbuka binti huyu mrembo aliyeamini kuwa ndoto na tamaa ndio muongozo wake bila kujali uhalisia wake….je ndoto gani…tamaa zipi na ni kilema kipi alikipata cha maisha?... kwa sababu zipi? Fuatilia filamu hii iliyojaa mafunzo, maonyo na burudani katika jamii za rika zote.

Casts: Hame Dulotu, Diana Choudry, Ally M. Migomba, Chiku Khalid

Story Musa Daudi Coudoger, Producer Musa Dausi Coudoger, Camera Hamisi M. Mohamed, Script Musa Daudi Coudoger, Director Musa Daudi Coudoger, Executive Producer Pilipili Entertainment

No Reviews at the Moment

 

Submit Reviews

Your Rate  
Your Name  
Your Email  

Email will NOT be shown publicly

Your Review  

Please enter the word you see in the image left