Categories

Jiwe

Genre: Action, Adventure,

SKU: DT461 | DVD I, II | Year - 2009

Pesa! Pesa! ndio pesa hubadili roho za watu na kuwa kama wanyama, mifumo iliyopangwa na Mungu inafutwa, macho ya binadamu yanatazama pesa, Bibi anatoka jela baada
ya kumaliza kifungo cha miaka sita, kumbukumbu ya dhuluma iliyofanywa na Tesha wakishirikiana na Mr. Kato inaupeleka moyo wake mithili ya chuma cha moto kwenye ngoma ya sikio. Lakini kinachoongeza machungu zaidi ni mpango wa kumfunga jela katika kutafuta haki isiyo haki. Julieth mtoto wa Kato anatekwa na babi, Ghafla moyo wakw unatokea kumpenda Babi

Producer Kadude Samuel, Director Felician Brown/ Marshal Massawe

No Reviews at the Moment

 

Submit Reviews

Your Rate  
Your Name  
Your Email  

Email will NOT be shown publicly

Your Review  

Please enter the word you see in the image left

 

 

escort bayan kadiköy escort kurtköy