Categories

Jozani

Genre: Horror,

SKU: DT461 | DVD I | Year - 2009

Ni vijana waliotoka jijini Dar es salaam na kwenda Zanzibar kutaalii. Wakiwa katika safari yao hiyo ndipo walipoamua kutembelea ndani ya msitu wa Jozani. hakujawahi kutokea vitu vya ajabu hata mara moja ndani ya msitu huo,, lakini mmoja kati yao anaogopa kuingia msituni humo akidhani labda kunavveza kukawa na viumbe vya ajabu. hakika kwa ukubwa wa msitu huo vitu kama hivyo huwezekana. woga uliwatan-da mioyoni mwao na kuamua kuhairisha safari yao hiyo. Unajua iliku-waje? mimi na wewe hatujui hivyo tuwe pamoja katika kufuatilia mkasa huu wa kusisimua ili tujue hatma ya vijana hao ndani ya
msitu wa jozani

Casts: Zuberi Mohammed, Jackline wolper, Jennifer Kyaka, Charles Magari, Anicet Renatus, Lulu J. Mwammenywa, Salama Hassan, Mobby Mpangala, Makame J. Bajomba, Isambain, Issa John

Director Farid Wezi, Story Zubery Mohamed (Niva), Cameraman Farid Wezi, Producr Makame J. Bajomba, Editor Farid Wezi

No Reviews at the Moment

 

Submit Reviews

Your Rate  
Your Name  
Your Email  

Email will NOT be shown publicly

Your Review  

Please enter the word you see in the image left

 

 

escort bayan kadiköy escort kurtköy