SKU: DT461 | DVD I, II | Year - 2011
Samuel Mwapagata (Kitasa) ni dereva taksi mzuri. Siku moja abiria wake mmoja anakufa ndani ya taksi na kumfanya kitasa asijue mahala pa kuipeleka ile maiti. Je kitasa atafanya nini? Fuatilia hadithi hii ya kusisimua ndani ya JUMBA BOVU.
Cast: Deogratius Shija, Magreth Akonay, Simon Mwapangata, Neema Daniel
Story by - Deogratius Shija ; Camera - Ibrahim Kitimbu; Edited by Mbwana Kidato; Directed by Deogratius Shija