SKU: DT461 | DVD I, II | Year - 2010
Kijakazi ni mssada mkubwa katika kuilea familia na kusaidia kazi za nyumbani, lakini kijakazi akageuka kuwa adui mkubwa wa familia, Nini humfanya kijakazi awe mtu mbaya, fuatilia kisa hiki…
Casts: Yusuph Kaimu (Pembe), Hellen Nikusuma, Ulimboka Mwalulesya (Senga)
Story & Script Samwel John, Michael Simwaba, Director Isaacl J. Mulumba, Cameraman Emanuel Samson, Editor Habyhencer A. Mwakanyamale, Binno, Make-up Irene Mwakyosi, Producer Saimon Rems, Samwel John, Location Manager Zawadi Mtavangu, Executive Producer Sama Video Center