Categories

Kimya

Genre: Adventure, Horror,

SKU: DT461 | DVD I, II | Year - 2011

David, Seba, Vaileth na Sakina wako safarini, wanaelekea kuhudhuria sherehe za kutimoza miaka kumi ya kampuni ya Maji Murua. Wako ndani ya gari, David akiwa ndiye dereva. Katikati ya safari, kwenye eneo lilizongukwa na miti miti mrefu, wanamuona binti akiwa amesimama katikati ya barabara akipunga mkona kusimamisha gari walilomo.

Binti ni mwenye wasiwasi ana michubuko tele mwilini. David anajitahidikumkwepa, gari linapata linapata pancha. Akizunguka zunguka ndani ya pori, David anaokota kitabu chenye gamba la dhahabu. Kitabu chenye kichwa cha habari kinachosemeka Kimya.

Yaliandikwa ndani ya kitabu hicho yanatisha na kumsisimua, lakini hajali. David anapoamua kukichuku kitabu, anatokea mtu mzee ndani ya pori hilo akidai ni kitabu chake

Cast: Single Mtambalike, Hamis Korongo, Yusuf Mtengo, Salma Nishah

Story by Sulan Tamba, Script Octavian Natalis, Camera Rashid Mrutu, Light & Sound Hamis Salum, Production Manager Hashim Kambi, Producer Octavian Natalis & Sultan Tamba, Director Sultan Tamba

No Reviews at the Moment

 

Submit Reviews

Your Rate  
Your Name  
Your Email  

Email will NOT be shown publicly

Your Review  

Please enter the word you see in the image left

 

 

escort bayan kadiköy escort kurtköy