SKU: DT461 | DVD I | Year -
Nimezunguka bara na visiwani. Nimetembea Afrika na Marekani lakini sijaona kama huyu. Mchina si mchina, mzungu si mzungu, msomli si msomali, kanyoa kama askari polisi jamani kiroho safi.
Cast: Rashid Mwinshehe (Kingwendu), Rajabu Jumanne (Chilli); Ulimboka Mwakilasa (Senga) Kidy Master (Saidi Ally) Ayubu Hamisi (Zimwi), Rajabu Jumanne, Mkono (Fadhil Omary); Mtanga (hamisi Changare), Toby (Mustafa Ismail), Mzee Ndimbi (Juma Bakari) Mganga (Salimu Mshindo)