SKU: DT461 | DVD I, II | Year - 2012
Jackie ni mwanafunzi ambaye anaangukia penzi la kijana mmoja aitwaye Bonfacel Kwa bahati mbaya. Jackie anapata ujauzito na kufukuzwa shuleni kwao kitendo ambacho kinampelekea kunywa sumu kwa kumuogopa babake ambaye ni mkali sana. Babake Jackie, mzee Dido, anaamua kulipisha kisasi kwa kijana huyo kisa kinachosababisha wengi kupoteza maisha na yeye mwenyewe kufungwa jela kwa kesi ya mauaji
Casts: Charles Magari, Jackline Dustan, Partrick Okolo, Kudura Luselo
A Huba Film Production Present: Laiti Kama