Categories

Last Opportunity

Genre: Adventure, Drama, Educational,

SKU: DT461 | DVD I, II | Year - 2010

Ni kisa cha vijana waliohitimu masomo kutoka vyuo mbalimbali na hata hivyo kukosa ajira, mmoja kati ya vijana hao alipendelea kusoma vitabu vya historia ya mabo ya kale na alibahatika kusoma kitabu kilichokuwa kinaeleza dhahabu zilizofichwa zama za mababu katika milima ya Maguta sehemu hiyo ilikuwa na miujiza mingi sana, lakini wengi waliowahi kwenda huko walifanya matambiko kwa kuchinja mnyama mwenye miguu minne na kukaa siku nzima bila kula chochote na walipo kwenda huko walifanikiwa. Bisco anahisi amegundua njia ya mafanikio na kuwakusanya vijana wenzake kwa ajili ya kufuatilia dhahabu hiyo… fatilia kisa hiki

No Reviews at the Moment

 

Submit Reviews

Your Rate  
Your Name  
Your Email  

Email will NOT be shown publicly

Your Review  

Please enter the word you see in the image left

 

 

escort bayan kadiköy escort kurtköy