Categories

Leah

Genre: Drama,

SKU: DT461 | DVD I, II | Year - 2011

Hakuna haja ya kuwa na hakika na maisha, kwani vyote vina kuja na kupita… usidhani kuwa yote unayofanya ni mema na yanampendeza kila ntu, haipo hivyo, kwani hakuna ukujuacho kati ya vile uvifanyavyo bali ukutazamaye ukiingia na kutoka huyo ndiye anayekujua,... kama kweli wewe ndiye Tash, uliyemsababishia matatizo Leah basi utakuwa umemtendea kitendo cha kinyama

Story / Script Jackson Kabebe, Camera Man Samwel P. Mtevi, Ac. Producer Dr.Peter & Samweli P. Mtevi,Producer Adadi Mshenga & Jackson Kabede, Ex. Producer K.B.D Entertainment, Director Yusuph Embe, Editor Big Funza

No Reviews at the Moment

 

Submit Reviews

Your Rate  
Your Name  
Your Email  

Email will NOT be shown publicly

Your Review  

Please enter the word you see in the image left