Categories

Loreen

Genre: Drama, Romance,

SKU: DT461 | DVD I, II | Year - 2011

Ni Story ya Mapenzi yanayohusu kijana aliyekuwa na maisha ya tabu na mkewe Tamia, baada ya maisha kuwa magumu sana hatimaye Tamia amnaamua kumtafutia Devi Kazi ya kawaida katika ofisi moja
na huko nako Devi anakutana na Doreen na wananzisha mahusiano bila kumwambia ukweli kuwa nao, mwisho wa siku Devi na Tamia wanamia kwa Doreen na anajua Tamia ni mke wake Devi, na hapo ndipo story inaponoga…

Casts: Jennifer Kyaka, Hissan Muya, Shamsa Ford, Recho Haule

J-Film4 Life presents Loreen, Producer Jenifer Kyaka, Production Steps, Director Leah Mwendamseke, Story by Leah Mwendamseke, Light and Sound Dula, Edited by Cjidi Classic

No Reviews at the Moment

 

Submit Reviews

Your Rate  
Your Name  
Your Email  

Email will NOT be shown publicly

Your Review  

Please enter the word you see in the image left