Categories

Lost

Genre: Drama,

SKU: DT461 | DVD I | Year - 2012

Eva (Baby Madaha) ambaye hakuwa tajiri ni binti ya Mr. Abdallah (Mhogo Mchungu0 alianza mahusiano na Mr. Fernandes (Ahmed Olotu) akawa ni suger dady wake. Mr. Fernandes aliweza kutimiza ndoto Eva na kumpatia mahitaji yote ya lazima na ziada lakini hakumpa nafasi yoyote katika familia yake na pia hakutaka awe na mahusiano mtu yoyote yule. Tatizo lilianza wakati Eva alipopendana na Sam (Yusuph Mlela) ambaye ni mtoto wa Fernandes (Ahmed Olotu) maisha ya Eva yaliyumba sana na kupata misukosuko, hakujua afanye nini na ajigawe vipi kati ya penzi la baba na motto. Je nini hatima yake na walimwengu watamtazama vipi? Tazama filamu hii ya LOST… safari isiyokuwa na mwisho.

Cast: Ahmed Olotu; Baby Madaha; Yusuph Mlela & Jacky Pentzel

Pilipili Entertainment Company Ltd presents a film by Sajni Srivastava Lost a journey to nowhere.
Writer/Director- Sajni Srivastava; Producers- Sameer Srivastava; Dop- Ibrahim (Chacha); Editor- Roopendra Raghav; VFX & Titles- Shazzad Khan; Sound Engineer- Ajay Kumar; Sound Recordist- Pawan Kumar; Business Head- Kawal Hanspal, Pilipili Entertainment Company Limited.

No Reviews at the Moment

 

Submit Reviews

Your Rate  
Your Name  
Your Email  

Email will NOT be shown publicly

Your Review  

Please enter the word you see in the image left