Categories

Mafisadi wa Mapenzi

Genre: Action, Drama, Romance,

SKU: DT461 | DVD I, II | Year - 2011

Ni kisa cha kusisimua na kuburudisha kinachohusisha matukio tofauti ya mapenzi skendo na upelelezi kwa kutumia taaluma ya uandishi wa habari. Mkurugenzi Samson Kakele (JB) ni mtu maarufu sana jijini Dar-es-Salaam na nchi nzima kutokana na mafanikio makubwa aliyoyapata katika kuongoza kampuni ya mawasilino ya B-Communications. Mafanikio hayo yanamfanya Samson kupata utashi wa kuingia katika
ulingo wa siasa baada ya kupata ushawishi mubwa kutoka kwa wananchi wa mkoani kwake. Mambo yote yanakwenda sawa kwa mkurugenzi Samson na mkwewe Doreen (Shamsa Ford) hadi pale siku moja ambap mmoja wa wanandoa hao anapoppkea simu inayoleta tafrani, mashaka na kubadili mwelekeo mzima wa maisha ya mkurugenzi Samson…

Cast: Jacob Stephen, Shamsa Ford, Shilole, Mahsein A Said, Jackline Wolper

Producer Manase GM, Story & Sciprt Manase GM, Camera & Editing Yusuph Qras, Director Mahsein A Said, Production Jet Set Technologies Co. Ltd. Sound Thabit Abdul, Light Alex Sponga

No Reviews at the Moment

 

Submit Reviews

Your Rate  
Your Name  
Your Email  

Email will NOT be shown publicly

Your Review  

Please enter the word you see in the image left

 

 

escort bayan kadiköy escort kurtköy