SKU: DT461 | DVD I, II | Year - 2014
Kuna jamaa wanagombea mwanamke wakidhani kuwa mmoja ni mwizi, kumbe walizaliwa mapacha na mmoja alilelewa Mwanza na mwingine dar es Salaam.. ndipo jamaa wa Dar alipochanganya madawa kwa msichana huyo…
Cast: Mike Sangu, Simon Mwapagata, Hidaya Njaidi, Ndumbangwe Sangu
Producer: Kijito Production
Director: Mike Sangu