Categories

Mchawi Nani?

Genre: Comedy,

SKU: DT461 | DVD I | Year -

Ni ndani ya kijiji kidogo chenye mambo makubwa yaliyojificha. Mambo yanakuwa wazi pale CHILLY anapokuta kitunga chenye pesa na mambo ya ushirikina. Chilly anaamua kuchukua pesa zilizopo na hapo ndipo mambo yote yanapokuwa wazi. Yote tisa kumi MCHAWI NANI?

Cast: Rashid Mwinshehe (Kingwendu), Rajabu Jumanne (Chilly), Saidi Ally (Mganga), Pili Majeshi (Mchawi), Sobogani Zabron (Erick), Kiwangala Ally (Big Machenji); Fatma Mpikita,Salha Said.

No Reviews at the Moment

 

Submit Reviews

Your Rate  
Your Name  
Your Email  

Email will NOT be shown publicly

Your Review  

Please enter the word you see in the image left