SKU: DT461 | DVD I | Year -
Mishe mishe ni msemo wa vijana maana yake ni mihangaiko. Kutana na vijana wanaofanya mishemishe mmoja anaibiwa mkewe je atakubali?...
Cast: Rashid Mwinshehe (Kingwendu), Ayubu Hamis (Zimwi) Ringo (Jackob William); Erick ( Sabogani Zabron); Katija (Aziza Shija); Muonekano (Peter Mwalugari); Love (Loveness); Dereck (Juma Nankulia); Samia (Samia Issa).