Categories

Mistress

Genre: Drama, Romance,

SKU: DT461 | DVD I, II | Year - 2009

Mengi yametokea na bado yataendelea kutokea, lakini kupitia filamu hii tutapata kujua mengi yaliyo tofauti na yale tuliyoyaona na kuyasikia. Mistress (Kimada) ni filamu ya kusisimua inayoelezea maisha halisi ya binti Miliam aliyehitimu kidato cha nne huko kijijini kwao Morogoro na kuchukuliwa na familia ya Mr Kelvin Dar-es-Salaam kama mfanya kazi wa ndani. Hapo ndipo kizaazaa kilipoanza mara baada ya binti huyo kulijua jiji, mimi na wewe hatujui kilichotokea hivyo fuatilia filamu hii ya kusisimua ili tupate jibu…

Casts: Happyness Emanuel, Regina Joseph, Victor Bhwana, Lay, Tini White, Kione, Kapturado, Charles Magari, Mashoo, Omary Mwinshehe

A Sky Link Film Presents Mistress “Kimada” Story Victor Bhwana, Script Victor Bhwana, Editor Godfrey E. James & Kione, Assistant Producer Nele Mwamakula, Project Manager Lay, Cameraman Godfrey E. James, Location Manager Nele Mwamakula, Makeup Mercy Bhwana

No Reviews at the Moment

 

Submit Reviews

Your Rate  
Your Name  
Your Email  

Email will NOT be shown publicly

Your Review  

Please enter the word you see in the image left