Categories

Misukosuko

Genre: Action, Drama,

SKU: DT461 | DVD I, II, III | Year - 2010

Misukosuko 3B, 3C, 3D

Kila siku dunia imekuwa ikishuhudia matukio ya uhalifu toka kwa viumbe wake waliongozwa na binadamu ambao ndio wanaoaminika kuwa na akili na busara nyingi lakini ndio walio mstari wa mbele kuzitumia sivyo ndivyo. Mfululizo wa filamu za MISUKOSUKO umejaribu kuwaletea seheme ndogo sana ya uhalifu, dhuluma, mauaji na uvunjaji wa sheri uliokithiri. Sasa fuatilia ujue hatima na uvunjaji wa sheria uliokithiri. Sasa, fuatilia ujue hatima ya Mr Chaka na kundi lake a ki-MAFIA huku askari jasiri na shupavu ASP J-Plus kwa ushirikiano mzuri wa askari wenzake akithibitisha uwezo wake wa kukabiliana nao, kwa hakika ni zaidi ya filamu

Casts: Jimmy Mponda, Charles Magari, Baby Madaha, Mohammed Mbwana

Story/Script Jimmy Mponda, Cameraman Eliza Jacob Director Jimmy Mponda, Editor Jimmy Mponda, Executive Producer Jimpowood Company Limited

No Reviews at the Moment

 

Submit Reviews

Your Rate  
Your Name  
Your Email  

Email will NOT be shown publicly

Your Review  

Please enter the word you see in the image left

 

 

escort bayan kadiköy escort kurtköy