Categories

Mjomba

Genre: Comedy,

SKU: DT461 | DVD I | Year - 2012

Mzee Majuto anaishi maisha ya kawaida kijijini anaishi na mkewe na mjomba wake wa kike, baada ya dhiki anapata imani mbaya ya kishirikina na anamuua mjomba wake kwa kishirikina kwa imani ya kupata pesa lakini matokeo yake mjomba wake anamtokea kila wakati na anakosa amani tena mwishowe mjomba anampa masharti ya kumwacha kutomsumbua ila ambebe mgongoni maisha yake yote.

Cast: King Majuto; Mama Kijoli; Bina; Swahiba; Dani; Chupa Uringe na Vallen.

Story & Script- Nick Issa Sudi; Camera & Editor- Nick Issa Sudi; Producer- Yusuph Omari; Director- Jah

No Reviews at the Moment

 

Submit Reviews

Your Rate  
Your Name  
Your Email  

Email will NOT be shown publicly

Your Review  

Please enter the word you see in the image left