Categories

Money Desire

Genre: Action, Drama, Romance,

SKU: DT461 | DVD I, II | Year - 2009

Kijana Danny (Yusuf Mlela) anatokea kumpenda jimama Mary (Stela Baltazary), Huku akitumia njia mbalimbali kumnasa jimama huyo anafanikiwa baada ya kupata ndumba toka kwa mganga. Huko nyumbani kijana Kim (Mohamed Mwikongi) anafedheheshwa na mwenendo wa Mary ambae ni dada yake. Maskani nako Danny anagombana na rafiki yake kwa sababu ya Mary. Je Danny ni kijana wa aina gani, kwa nini anafanya hivyo na kwa maslahi gani…

Casts: Stella Balthazar, Yusuf Mlela, Mohammed Mwikongi

Story & Script Mary John, Director Mohamed Mwikongi, Producer Mohamed Mwikongi, Executive Producer Mary John.

No Reviews at the Moment

 

Submit Reviews

Your Rate  
Your Name  
Your Email  

Email will NOT be shown publicly

Your Review  

Please enter the word you see in the image left