Categories

Mpishi

Genre: Adventure, Drama, Family,

SKU: DT461 | DVD I, II | Year - 2011

Ni Hadithi Iliyoizunguka Familia Ya Mzee Douglas Ambayo Tabia Zao Ni Za Ajabu. Kwa Familia Hiyo Kuwa Na Mfanyikazi Ambaye Angeishi Kwenye Nyumba Ile Kwa Muda Ilikuwa Ni Mbinde. Jamaa Mmoja Kwa Jina La Iqbal Ambaye Anakwenda Pale Kuomba Kazi Kama Mpishi, Anafanikiwa Kuielewa Familia Ile Kwa Haraka Mno Na Anachukuwa Jukumu La Kuinganisha Familia Ile. Baada Ya Yeye (Ikqbal) Ambaye Yeye Ni Profesa, Kufanikisha Malengo^Yake… Anaacha Kazi Pale Kama Mpishi1 Lakini Anaapa Kuzisaidia Familia Kama Ya Mr Douglas Kuhusu Upendo, Amani Na Umoja Na Kuziunganisha Kwa Pamoja. “Kumbuka Ni Rahisi Kuwa Na Furaha, Lakini Ni Vigumu Sana Kuwa Muelewa

Cast: Cloud 112, Ahmed Olot, Lucy Charles, Mary Myakunga, Ebby Skyes, Monica Semakula, Suleiman Barafu, Noor Shabani

Its a Pili Pili Entertainment Co. Ltd. Written & Directed by sameer Srivastava Produced by - Sameer Srivastava & Sajani Srivastava Executive producer - Pranav path, Camera - Ibrahim and Mahadev Nare Sound Recordist - Pawan Kumar Makeu Artist - Monica Semakuia gfx & title - shazzad khan Business head - Kawal Hanspal Lights - Abdul Rashid

No Reviews at the Moment

 

Submit Reviews

Your Rate  
Your Name  
Your Email  

Email will NOT be shown publicly

Your Review  

Please enter the word you see in the image left

 

 

escort bayan kadiköy escort kurtköy