SKU: DT461 | DVD I | Year -
Mtaka mwana kulia mwishowe hulia yeye na samaki hukunjwa angali mbichi kwani akisha kauka hakunjiki. Walimdekeza na kumifu kwa usela wake hatimaye shimo walilolichimba wakatumbukia wenyewe. Pata mkasa mzima…
Cast: King Majuto; Kingwendu; Ringo; Kiwewe; Tin White; Pembe, Senga; Rajabu Nyanje; Mzee Kangomba; Warda; Haisha Mwarabu & Sista Hakunaga.
MT Production