Categories

Mtoto wa Nani

Genre: Drama,

SKU: DT461 | DVD I, II | Year - 2013

Usinione nimenyamaza ukadhani nafurahishwa na matendo yako, haujui moyoni mwangu naumia kiasi gani. Lakini namshukuru mungu kwa yote yanayotokea katika maisha yangu kwani najipa moyo kuwa ipo siku yataisha na nitakuja kusahau yoie yanayonifanya nijute.

Casts: Riyama Ally, Haji Salum, Jackson Elias, Michael, Twalibu,

Crew Story/Script Godfrey E. James, Cameraman- Godfey E. James, Location- Cesilia Elias, Producers- Koga & Godfrey E. James

No Reviews at the Moment

 

Submit Reviews

Your Rate  
Your Name  
Your Email  

Email will NOT be shown publicly

Your Review  

Please enter the word you see in the image left