SKU: DT461 | DVD I | Year -
Ama kweli maradhi mengine usiombe yakufike. Kingwendu anaokota ‘embe dodo’ jangwani bila ya kujua kuwa lile ni bomu lililosubiri kulipuka. Angalia kizaazaa chake…
Cast: King Majuto; Kingwendu; Ringo; Kiwewe; Mtanga; Bambo; Zimwi Pembe; Senga; Tin White & Happy.