Categories

Ni Kosa Langu

Genre: Drama, Family,

SKU: DT461 | DVD I, II | Year - 2012

Riziki hupangwa na Mungu hakuna wa kupangua na Mungu anapotaka lake litimizwe hakuna wakushindana naye, inatakiwa binandamu wote turidhike na kile Mungu alichotupatia… Je inawezekana vipi binadamu kupangua kile Mungu alichopanga juu yake na kuweka anachotaka yeye pasipo kumshirikisha Mungu?...

Cast: Hidaya Njaidi; Hashim Kambi; Ruth Suka; & Snura Mushi.

Story- Christant Muhenga & Lydia Mgaya; Producer- Lydia Mgaya; Executive Producer- SAS “O” Entertainment; Director- Christant Muhenga; Sound- LAS; Camera Man- Christant Muhenga

No Reviews at the Moment

 

Submit Reviews

Your Rate  
Your Name  
Your Email  

Email will NOT be shown publicly

Your Review  

Please enter the word you see in the image left