SKU: DT461 | DVD I, II | Year - 2010
Sikuwahi kufikiria kabisa kama mambo yangeniwia magumu kiasi hiki, hakuna siku mbaya kwenye maisha yangu kama siku niliyompoteza mwanangu. Hakika siku hiyo sitakaa niisahau maishani mwangu.
Producer: Aziza Mohammed; Story & Director: Lucy Komba; Camera: Kenny Rolin; Editor: Kenny Rolin; Sponser: Anassir Video Entertaiment.