SKU: DT461 | DVD I, II | Year - 2011
WARDA (Ong’wana) ni mtoto aliyepewa uwezo mkubwa sana na Mwenyezi Mungu anayeweza kufanya, kujua, kuokoa na kuleta faraja na mitafaruku katika maisha ya kila siku ya Mwanadamu. Je, ni uwezo gani huo? Fuatilia Story hii ya kusisimua itakayokuweka katika hali usiyotegemea na kukubadilisha, “ONG’WANA”