SKU: DT461 | DVD I | Year - 2009
Zama hizi watu wengi wanaamini yatima wanaongezeka kutokana na kufiwa na wazazi wao kwa maradhi kama vile UKIMWI, Kansa, Kifua Kikuu, lakini wanasahau gonjwa lingine kubwa kuliko yote nalo ni ajali.
Story- Happy V. Chikuni, Screen play- Suleiman Abubakari, Director- Andrew Saimon.