SKU: DT461 | DVD I, II | Year - 2013
Mtu mwenye hekima anawaachia watoto urithi wa Shule. Lakini asiye na utu anoamua kuwapoteza ili awadhulumu urithi huo. Ni Patashika, kizaazaa na mauzauza ya kutisha. Lakini nini mwishowe? Fuatilia…
Casts: Riyama Ally, Flora Mvungi