SKU: DT461 | DVD I, II | Year - 2011
Mwandishi anapiga picha, watu wanafanya mauaji, inapelekea kufa mume wake na kutekwa mototo wake wakati majambazi wanataka mkanda wao, ndio inspector Seba anaingilia kumsaidia muandishi.
Cast: Naomi Mbaga, Jafari Nassor, Seba Mwanangulo