SKU: DT461 | DVD I, II | Year - 2009
Dunia duara na ndani ya duara hilo kuna mitihani mingi, kuna milima na mabonde kuviepuka ni lazima uwe makini na uwe na subira na kupoteza mwelekeo wa maisha lakini Polet anajaribu kuwa jasiri kupambana na majaribu yaliyomkabili… Fuatilia kisa hiki
Casts: Mayasa Juma Said na Pius Nyange.
Mtunzi- Mayasa Juma Said.