Categories

Ramadhan Karim

Genre: Drama, Spiritual,

SKU: DT461 | DVD I, II | Year - 2014

Ramadhan ni mwezi wenye heri nyingi sana kwetu sisi waislam na tunapofunga ramadhan tunapata fadhila nyingi kwa Mwenyezi Mungu. Hivyo basi ni wajibu kwetu sote kufanya ibada nyingi katika mwezi wa Ramadhan ikiwemo kufunga ili tuweze kupata fadhila nyingi kutoka kwa Mwenyezi Mungu. RAMADHAN KARIM…
Cast: Mohamed Mkumbila, Salma Saleh, Ahmed Ulotu, Usi Haji
Producer: Star Arts Group
Director: Maulid a. Ally

No Reviews at the Moment

 

Submit Reviews

Your Rate  
Your Name  
Your Email  

Email will NOT be shown publicly

Your Review  

Please enter the word you see in the image left

 

 

escort bayan kadiköy escort kurtköy